Team Tanzania
Hehehe nilikuwa najaribu
With my wii supporting Team Tanzania
Need I say more???
#TeamTanzania, Shaban Kawawa, Moi & Rahma Pompy
#TeamTanzania, Shabani, Moi, Rahma & Abuu
#TeamTanzania
#TeamTanzania
Vijana wakiwajibika
Ex Tanzania Footballers Said John & Nassor
Half Time
Rash Brown nae alikuwepo
Jessica na boys wake pia walikuwepo
With my shem Hans
Jessica, Rahma, Hans & Moi
Happy people
It was a beautiful dau
Kakaaaaa yangu jamani busy akisupport
Juju man lol
Ikabidii Nassor aingie kuokoa Jahazi
#TeamTanzania wakiwakilishaaaa
Hapo waganda walitufungajeeeeeee aaaaaa
Muke ya Meru nikibishana na Waganda waliosimiama kwenye goal letu wakawa busy na juju yao hahahaha it was fun though lol na walikomaje baada ya sisi kwenda pale maana walitokwa jasho haswaa wakaanza kutufukuza hahahahahah wapi Rahma wangu mie lol
Bahati mbaya Team Tanzania imefikia mwisho wake wa kucheza baada ya kufungwa na Uganda. Lakini vijana wetu wanajitahidi sana na wanajituma sana ukizingatia ugumu na ubusy wa maisha ya hapa UK. Kinacho takiwa ni kuzidi kuwasupport na vijana wengine weneye vipaji wajitokeze popote pale mlipo UK hii mnahitajika ili team yetu iimarike na mwaka kesho Inshallah tufanye vizuri zaidi. Other wise hongereni sana. Maelezo ya jinsi gani unajiunga na #TeamTanzania yatafuata hapa hapa JG Blog. Tanzania is out but nchi zingine bado zinacheza so karibuni mkasupport next weekend.
For match results and fixtures visit http://www.africannationscupuk.com
Comments
Post a Comment