DIAMOND PLATNUMZ ATIRIRIKA JUU YA WIMBO WAKE WA MDOGO MDOGO PAMOJA NA UPEO WA KIPAJI CHAKE [Video]

Msikilize Diamond Platnumz  kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds Fm ameongelea sababu za wimbo wake mpya "mdogo mdogo" na kipaji chake cha kuweza kuimba nyimbo za aina yoyote ile hata muziki wa Taarabu 

Comments

  1. Dada Jestina,tuwekee aliyoelezea safari yake ya kwenda USA kwa ajili ya BET nadhani ndio inafuata baada ya hiyo uliyotuwekea hapo..thanks..

    ReplyDelete

Post a Comment