Loveness Malinzi a.k.a Diva kupitia Kipindi cha You Heard ndani ya XXL ya Clouds fm ametiririka kuwa licha ya kushiriki kwenye upigaji picha wa Video "Wauwe" ya Kina Chege na Temba hataki wasanii hao watumie Scene yoyote anayoonekana,
Bonyeza paly umsikilize Diva akitiririrka;
Alilazimishwa madem wa bongo mizenguo sana kujiona babu kubwa kuuza sura tu
ReplyDelete