KHITMA YA MAREHEMU AMINA ZAHRA MTENGETI KUSOMWA KESHO, 3 JUNE 2014.

Asalaam aleykum. 

Khitma ya wanawake ikiwa ni Duaa kwa marehem AMINA ZAHRA MTENGETI itasomwa kesho Tarehe 3 JUNE, saa 10 alasiri eneo la REGENT ESTATE, Mlingotini, jijini Dar es salaam,  nyumbani kwa Hajjat Mwantumu MALALE.

Wote mnakaribishwa

Comments