Hiki ni kipindi kingine tena kitachokujia hivi punde kupitia MICHUZI TV, kama ulivyoambiwa hapo. Usikonde. Show hii na nyingine nyingi za kusisimua utazipata kirahisi sana kiasi utashangaa. Kaa chonjo, mboga ipo jikoni - karibu itaiva. We kaa mkao wa kula tu...
Ankal akiwa na mchambuzi maarufu nchini wa mambo ya soka Dr Liky Abdallah wakati wakiandaa kipindi maalumu ya Kombe la Dunia 2014 ambacho kitarushwa Michuzi TV hivi karibuni. Hivyo mdau kaa chonjo usikilize uchambuzi wa uhakika toka kwa mtaalamu huyu. Vile vile kaa mkao wa kula kuona namna utavyoipata MICHUZI TV kirahisi na kufaidi vionjo hivyo na vingine kibao kila siku. STAY TUNED!
Comments
Post a Comment