Suarez leo ametafuna tena tukio hilo lilitokea kwenye mechi baina ya timu ya Uruguay ambayo anachezea yeye ilipopambana na Italy. picha zinaonesha Suarez akiwa anamtafuna beki wa Timu ya italy Giorgio Chiellini. Kama utakumbuka mwaka jana Suarez alilazimika kuomba msamaha kwa kumngata beki wa Chelsea Branislav Ivanovic
Chiellini akionesha alama za meno baada ya kungatwa na Suarez
Suarez akitowa vipande vya nyama vilobaki kwenye meno yake
Aaaaaaaaakumbe nyama yenyewe kidogo hivi
Chiellini akionesha majeraha yake
Comments
Post a Comment