MKUU WA WILAYA YA KIBONDO AONGOZA MAPOKEZI YA BONDIA IBRAHIM CLASS .KING CLASS MAWE' BAADA YA KURUDI NA UBINGWA WA WPBF AKITOKEA ZAMBIA.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' kushoto akiwa na promota wa kimataifa Jay Msangi 'Jiwe Gumu' baada ya kutua nchini wakitokea Zambia walipo nyakuwa ubingwa wa WPBF Africa kwa kumpiga Mwansa Kabinga wa Zambia katika Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia picha nawww.superdboxingcoach. blogspot.com
Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto 'kushoto' alivyongoza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kumpokea Ibrahimu Class 'King Class Mawe' aliyeshika mkanda baada ya kurudi na mkanda wa WPBF kwa kumpiga mzambia Mwansa Kabinga katika uwanja wa Arthur Davis kwa k,o ya raundi ya tisa na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa uho wa pili kushoto ni bondia Shomari Milundi, kulia ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Yaj Msangi, wadau Bilali Ngonyani na Rogers Masamu Picha na
www,superdboxingcoach. blogspot.com
www,superdboxingcoach.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akiwasili nchini kutokea Zambia aliponyakua mkanda huo
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akinyoosha mkanda wake wa ubingwa juu
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' katikati akinyoosha mkanda wake wa ubingwa juu kushoto ni bondia Shomari Milundi na kulia ni mdau Bilali Ngonyani na
Rogers Masamu Picha na www,superdboxingcoach. blogspot.com
Rogers Masamu Picha na www,superdboxingcoach.
Mashabiki mbalimbali wakimpongeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kuwasili nchini alipotokea Zambia ambapo alinyakuwa mkanda wa WPBF kushoto ni Jay Msang 'jiwe Ngumu' Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi picha na
www.superdboxingcoach. blogspot.com
www.superdboxingcoach.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' katikati akiwa na mashabiki waliopanda nae ndege moja na kumpongeza baada ya kuwasili nchini kwa kunyakuwa ubingwa wa WPBF
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akipokelewa kwaniaba ya serekali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni Promota wa kimataifa Jay Msangi 'Jiwe Gumu' picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe ' akipokelewa kwa niaba ya serekali nakuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto katikati mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere kulia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Ibrahimu Class king class mawe
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa na mkanda wa ubigwa wa bondia Ibrahimu Class
Comments
Post a Comment