.jpg)
.jpg)
Hariet Shangarai (NesiWangu Mynurse) mtowaji wa huduma za afya DMV, alipokuwa akipata picha ya pamoja na mhudumiwa baada ya maangalizi ya afya bureDMV siku ya Jumamosi April 12, 2014
Video siku ya Jumamosi April 12, Hariet Shangarai (NesiWangu Mynurse) aliposhirikiana na kundi zima la HCP MetroDC Screening Program, ambalo linatua huduma za afya bure kwa wanaDiaspora wanaoishi hapa Marekani, siku hiyo ya Jumamosi akatika Video iliopo cheni aliweza kuwashirikisha waTanzania wanaoishi hapa DMV katika maangalizi ya bure juu ya afya zao.
Comments
Post a Comment