MWANASHERIA AFUNGUKA KUHUSU SAKATA LA DIVA KUTAKA ATOLEWE KWENYE VIDEO YA WAUWE [AUDIO].

You heard ya jana June 03 alisikika Diva wa Clouds Fm akitaka kutolewa kwa vipande vyake kwenye video ya wauwe, baadae akasikika Meneja wa kundi la TMK Wanaume Family Said Fella kuhusu maamuzi yao. Sasa hapa unamsikiliza Mwanasheria akizungumzia kesi hiyo na mwenye haki anayestahili kufatwa maamuzi yake,pia utamsikia mheshimiwa Temba nae akiongea juu ya inshu hii.

Comments