MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON OTIENO WAWASILI NYUMBANI KWAKE MBEZI, KUAGWA KESHO LEADERS [PICHA]


IMG_4327
Ilikuwa majira ya saa kumi na moja alasiri katika hospital ya Aghakan ndipo mwili ulihamishiwa baada ya kutoka hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni. Pichani juu ni gari maalumu la kubeba maiti na hapa lilikuwa likisubiri mwili wa mpendwa wetu Geogre Tyson tayari kwa safari ya kuelekea nyumbani kwake Mbezi Beach Makonde.
IMG_4330
Pichani ni wafanyakazi wa TV1 wakiwa wanausubiri mwili kutolewa nje.
IMG_4333IMG_4336
Mpendwa wetu akiwa ametulia kwenye nyumba yake ya milele.
IMG_4340IMG_4344IMG_4345IMG_4348IMG_4352IMG_4354IMG_4360
IMG_4364IMG_4367IMG_4374IMG_4375IMG_4379IMG_4381IMG_4382IMG_4384
Steve Nyerere pamoja na Rich Rich wakiwa kwenye nyuso za huzuni na kukubali kweli hawatomuona tena Tyson
IMG_4387
Anaitwa pasta Bob Makali kutoka Ocean Community Church alikuwa akiubiri neno la mungu na kuendesha ibada nyumbani kwa marehemu.
IMG_4391IMG_4394IMG_4395IMG_4397IMG_4399
Mtoto wa marehemu Tyson anaitwa Sonia pamoja na mama mtoto Monalisa wakiwa kwenye huzuni baada ya kuambiwa waende kumtizama mpendwa wao.
IMG_4402IMG_4407IMG_4410Mtoto wa marehemu Sonia, Bibi yake na mama yake Monalisa wakilia kwa uchungu  wakati wakutazama mwili
IMG_4415IMG_4416IMG_4420IMG_4421IMG_4423IMG_4424IMG_4427IMG_4428IMG_4431IMG_4436IMG_4437IMG_4438IMG_4439IMG_4440IMG_4441IMG_4451IMG_4452IMG_4454IMG_4456IMG_4457IMG_4458IMG_4461IMG_4462IMG_4463IMG_4465IMG_4466IMG_4468IMG_4470IMG_4472IMG_4476IMG_4478
Picha zote kwa hisani ya DJChoka Music Blog

Comments