Mr & Mrs Ahmed
MC busy nikifanya yang
Nikikaribisha wageni
Nikimtambulisha mama wa bi harusi
Moi & my sis Nadya
Muke ya Meru niliwakilisha kioman zaidi
Mambo ya Muscat hayooo
Mama wa bi harusi nae alitokeleza kimuscat zaidi
Sisi hapa tukifanya yetu
Burudani kwa kwenda mbele
Mduara ulihusika
Watu full kujiachia
Nourah akiingia ukumbini akisindikizwa na wadogo zake
Ahmed nae aliingia kwa style yake akisindikizwa na marafiki zake pamoja na maunty zake mkewe Rahma na Shenaz.
Mkweeeeee alitishajeeee
Yap and they were finally together
Kodak moments
Kulikuwa na burudani kutoka kwa Aziz
Mambo ya msosi na nini na nini
Time ya zawadi ikafika
Ukodak ukaendelea kama hivi
They danced to TUPOGO by Ommy Dimpoz
Mama akifanya yake
Farida katika pose
Tawhida, Mina with Ahmed & Nourah
Rahma, Kwangu, Shenaz katika picha ya pamoja na maharusi
Nourah, Mama yake na wadogo zake
Nourah & Ahmed with their friends.
Rash Brown akifanya take
Ok ni hivi Nourah na Ahmed walifunga ndoa mwanzoni mwa mwaka huu 2014 na tukaamua kuwapongeza tu na kaparty kadogo with family and friends. Hii si reception it was just a party ya kuwapongeza. Tunawatakia kila la kheri katika ndoa yao. na Mungu awabariki.
Much love
xoxoxo
All images by Ally Muhdin
Comments
Post a Comment