PICHA: RAIS KIKWETE ALIPOWAALIKA WASANII CHAKULA CHA JIONI IKULU NDOGO DODOMA, BAADA YA UZINDUZI WA VIDEO YA TUULINDE JUMAMOSI 14 JUNE 2014.

  Rais Kikwete akionge na Ommy Dimpoz alipompa kazi yake

  Msanii Jb akiteta na Rais Kikwete
  Rais Kikwete Akifurahi na Msanii Mrisho Mpoto
mmy Dimpoz akichukua chakula


Queen Darleen akichukua chakula
 Ridhiwan Kikwete Mbunge wa chalinze akichuka chakula
 Ridhiwan Kikwete Mbunge wa chalinze akichuka chakula
 Jacqueline Wolper akipakua chakula
 Kajala na Jacqueline Wolper wakichukua chakula
Wasanii Izo B na Quick Racka wakichukua chakula 
 Mkubwa Fella na Jose Mara


 JB akipakuwa chakula
 Irene Uwoya, Johari na wasanii wengeni wakipakua chakula
Shilole na Mziwanda wakapata chakula 
 Ruge Mutahaba na Sebastian Maganga 
Ridhiwani na wageni wengine wakibadilishana mawazo

Comments