SERA ZA LIBE MGOMBEYA WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV


Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV
Bwna Liberatus Mwang'ombe
Atakachoongea katika mkutano wake ni
 Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives
Jumiaya na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili. Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato, Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, "Power of attorney" , Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014  kuanzia saa 10 Alasiri (4pm) Meadowbrook Park
7901 Meadowbrook Lane
Chevy Chase, MD 20815 Kutakua na vinywaji pamoja na uchomaji wanyama choma Nyote Mnakaribishwa **********

Comments