TAARIFA YA MEYA WA ILALA JERY SILAA KUHUSU AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUWA HACKED



Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.



Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa.

Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote mliopatwa na usumbufu huu.



Jerry Silaa


Comments