- WATINGA UWANJANI NA KIBUYU CHENYE MAZIWA WAMWAGIA KWENYE GOAL LA TANZANIA.
Juju man wa Uganda akiwa na kibuyu chake huku mmoja wa Team Tanzania akijaribu kumuonda kwenye goal letu
Juju man akiwa katika pose na waganda wenzake na kibuyu chake
Akiwa anaondolewa eneo la tukio lakini kama vile alifanya kweli maana tulifungwa na Uganda imequalify kwenda quater finals.
Comments
Post a Comment