JUH JUH'S House of Kids inafunguliwa rasmi kesho na ndo habari ya mujini kwa pamba zote kali za watoto. Na hivi sikukuu inakaribia kama nawaona wakina mama wenzangu. Duka lipo KINONDONI kwa manyanya baada tu ya kituo cha kwa manyanya kama unaenda MOROCCO itakuwa ni upande wako wa kushoto na sio upande wa sokoni. Ambapo baada ya kituo kuna kona inaingia kushoto utaona frame frame nyingi ndio hapo hapo ukiulizia tu duka la Zamaradi liko wapi utaoneshwa. For QUALITY, UNIQUE and FASHIONABLE clothes.. its JUHJUH's house of KIDS." Hongera sana @zamaradimketema @zamaradimketema @zamaradimketema @zamaradimketema kwa kupigia hatua kubwa katika maendeleo. Wishing u all the best. #jestinageorgeblog #diasporablogger #teamsupport #teamafrica #teamzalendo #teameastafrica #JuhJuhsHouseOfKids
Comments
Post a Comment