MH. BALOZI MODEST MERO WA GENEVA AFUTURISHA


Mh. Balozi Modest Mero na Mke wake walianda chakula cha jioni kama heshima kwa waislam na wasio waislam kujumuhika pamoja na kufutari. Hapa Watanzania hao waishio Geneva wakijiandalia futari hiyo tayari kwa mankuri
 Mh. Balozi akiwa kwenye vazi nadhifu la kiislam akipata futari na Watanzania wenzake.
Mh. Balozi Mero akipata ukodak pamoja na mama mwenye nyumba wake na mtoto wao

Lulu. Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.
Ambassador Modest Mero and Rose Mero, hosted Futari in the Tanzanian Residence Geneva, Switzerland, in this Holy Month of Ramadan for Muslims and Tanzanian in All to be together.

Comments