Kuna habari zimeandika kwamba mwanadada anaejulikana kwa jina la Winnie amenaswa na madawa ya kulevya huko China. Habari hizo si za kweli na blog hii inakupa habari ya kuweli kwamba huyu dada amekamtwa kwa kosa la kuoverstay na si madawa ya kulevya kama inavyo daiwa.
Waandishi wenzangu naombeni tuweni makini na habari tunazo pewa kuhusu watu saa zingine mtu anakutumia habari za uongo kutokana na chuki binafsi ili kumchafua muhusika pasipo na sababu.
Comments
Post a Comment