NYUMA YA PAZIA PICHA ZA UTENGENEZAJI VIDEO MUSIC YA VICTORIA KIMANI , DIAMOND NA OMMY DIMPOZ

Mambo ya Prokoto wimbo ambao mwana dada Victoria Kimani kutoka Kenya aliwashirikisha Ommy Dimpoz Na Diamond Platnumz, sasa hapo chini kuna picha kilichojiri  kwenye eneo la tukio wakati wa utengenezaji wa Video ya wimbo huo
Ni mwendo wa Prokoto kweli kwani walijipanga vilivyo katika video hiyo ukicheck pozi tu basi utakubari kuwa ngoma imepata wajuvi. Chini ndo mpango mzima jitiririshe zaidi

Comments