RAY C AMPA JIBU LA KISTAARABU TID

Kama utakumbuka siku chache zilizopita TID alimwagia maneno mazito Ray C, sasa leo kupitia ukurasa wake wa instagram nae RAY C ameamua kumjibu TID.

soma hapo chini majibu ya RAY C


Comments