TAZAMA JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOPOKELEWA KAMA MFALME VILE

Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 mashabiki wengi wakiongozwa na mama yake,dada yake pamoja na mpenzi wake Wema Sepetu

miongoni mwa watu waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere Internation Airpot.
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi ya Diamond Platnumz.

Comments