THOMAS MASHALI KUZIPIGA NA MADA MAUGO NANE NANE KATIKA UWANJA WA TAIFA

Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupambana Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa tamasha la usiku wa matumaini lililoandaliwa na kampuni ya global publisher 
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kupambana Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher 
Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi sehemu ya fedha kidogo bondia Mada Maugo  kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Thomas Mashaliutakaofanyika
Agost 8 katika uwanja wa taifa Dar es salaam wakati wa tamasha la matumaini siku ya Sikukuu ya Nanenane lililoandaliwa na kampuni ya global publisher 
Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi sehemu ya fedha kidogo bondia Thomas Mashali  kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wake na Mada Maugo utakaofanyika

Comments