UTENGENEZAJI WA VIDEO YA KIPI SIJAKISIKIA YA PROF JAY ALIYOMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ [Picha]



IMG_0217Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level
Prof Jay akiwa na Prod P Funk Majani,
DJ Choka akiingia mahakamani

Jini Kabula & DJ Choka
 Credit:Dj Choka

Comments