ACCOUNT YA FLORA MBASHA FACEBOOK SI YAKE USIDANGANYIKE.

Tafadhali chukua tahadari kuna mtu anatumia jina la muimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha kwenye mtandao wa facebook. Flora Mbasha amekanusha na kusema hana account yeyote ile kwenye mitandao ya kijamii na hiyo ya facebook si yake.
Uonapo ujumbe huu tafadhali mjulishe na mwezako.

Comments