Baada ya kutupiwa lawana nyingi na maswali yakiendela kumiminika ili atoe sababu ya kuunfollow watu kwenye mtandao wa Instagram hatimaye msanii Ali Kiba ameamua kujibu kama ifuatavyo:
Hapo juu ni swali kutoka kwa mtangazaji wa Times FM Fadhili Haule na fans wengine
Hili ndo jibu la Ali Kiba. So ukitaka kuwasiliana nae tanya kumfollow twitter
Comments
Post a Comment