Hii ndo official account ya Instagram account ya Ally Kiba. Leo hii ameamua kuunfollow watu wote aliokuwa akiwafollow na kuzua maswali as to why amefanya hivyo. Sijui alikuwa akifollow wangapi but walikuwepo na sasa ndo kama hivyo hakuna kitu.
BUT WHY? Tunamtafuta pupate habari kwanini ame amua kufanya hivyo stay tuned hapa hapa www.jestina-george.com
Comments
Post a Comment