Uiyonavyo sivyo ilovyo hadi UISIKIAPO, Cheif wa swahilivilla Ebou Shatry akutana na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China ndani ya Jjiji la Dar, kwa Video Clip fupi, ya WhatsApp WADAU wetu kaeni mkao wa kula..?

Cheif wa blog ya swahilivilla Abou Shatry kutoka Washington DC nchini Marekani akipata picha ya pamoja na Mtaalamu wa Vichekesho, Hussein China, baada ya miaka 15 kutoona kijiwezi Jijini Dar, katika mpango mzima wa kipindi cha Msakatonge na Azamtv bigwa wa vichekesho kuandaa mualiko rasmi.
Comments
Post a Comment