Hongera Ommy usitukere tukakuunfollow hahahaha. Soon you will be verified too.
Kama uko Marekani kutana na Ommy Dimpoz akifanya yake ndani ya NDAGUSHIMA USA Premier kesho Huston, Texas.
Ile tour iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ndo hiyooo imekaribia na ni weekend hii na kumbuka ni show mbili tu Washington na Texas. Unaanzaje kukosa sasa. Let's support our own @ommydimpoz RP From dmkglobal: "THIS IS IT....HOUSTON THIS SATURDAY...NDAGUSHIMA LIVE PREMIERE IN YA AREA.....TELL YA FRIENDS TO TELL THEIR FRIENDS.."
Comments
Post a Comment