MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AKUTANA NA RAIS JAKAYA KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU 10 Sept. 2014 Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbali

Rais Jakaya Kikwete akipitia baadhi ya sample za vitambaa vya nguo vinavyotumiwa na mbunifu wa mavazi wa kimatafaifa Sheria Ngowi (kulia) IKULU Jijini Dar es Salaam10 Sept. 2014, kushoto ni Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi.

Rais Jakaya Kikwete akijadiliana na Ujumbe Maalum Ukiongozwa na Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa kwanza Kulia)ikulu jijini Dar es Salaam 10 Sept. 2014

Rais Jakata Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum Kutoka Sheria Ngowi Brand Ukiongozwa na Mfunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi (wa pili kushoto) Makamu wa Rais wa Sheria Ngowi Brand Haki Ngowi(wa pili Kulia)Mkuu wa Kitendo cha Biashara na Matangazo Deo Kessy (wa kwanza kushoto) na Kiongozi wa idara ya habari kutoka Sheria Ngowi Brand Atunza Nkrulu(wa kwanza Kulia). Picha na Freddy Maro -I KULU
Comments
Post a Comment