UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2015, KUFANYIKA CHINI YA KATIBA ILIYOPO SASA.

Viongozi wa Tanzania wamekubaliana kuwa uchaguzi mkuu ujao utafanyika chini ya katiba iliyopo sasa, na mchakato wa katiba mpya, uliokuwa tayari umeanza utaendelea baada ya uchaguzi.

Comments