YAMOTO BAND WAZINDUA VIDEO YAO MPYA - NISEME NDANI YA MAISHA CLUB USIKU WA KUAMKIA LEO.

Usiku wa kuamkia leo ilikuwa #NiSheedah pale New Maisha watoto wa Mkubwa walipo panda jukwaani na kufanya show ya aina yake baada ya uzinduzi wa video yao mpya #NISEME. Icheki hapa chini. 





Kwa habari zaidi na mapicha fanya kuwafollow @yamoto_band Instagram
Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,
Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.
IMG_9221

Comments