HENNESSY ARTISTRY 2014:
Hennessy artistry kwa ujumla ina uwanda mkubwa wa kuchochea kazi nzuri kimziki na kiutamaduni katika nchi kadhaa. Nchi ya Nigeria inatangulia kwenye umaarufu wa Hennessy Artistry katika bara la afrika, pamoja kukiwana matamasha mbalimbali ambayo yataonesha vipaji mbalimbali vya wasanii wa Nigeria. Kwenda sawa na hili jambo, Hennessy Artistry Tanzania imeanzisha program hii oktoba 2014.
HENNESSY FRIDAYS:
Kusaidia kampeni yote kwa ujumla hapa Tanzania, Qway international, mawakala wakuu, wasafirishaji na wasambazaji wa bidhaa za Moet-hennessy afrika mashariki, wametayarisha mfuatano wa party sita za hennessy ambazo zinafanyika kila ijumaa. Party za hennessy za kila ijumaa zitafanyika kwenye ijumaa sita, katika kumbi sita mbalimbali mjini dar es salaam, zitazoonyesha vinywaji sita tofauti vya hennessy. Wageni watapata nafasi ya kipekee kunywa ladha tano tofauti zilizochanganywa vizuri na hennessy cognac :berry ,citrus , ginger, apple na soda.
HENNESSY FRIDAY Wiki Iliyopita:
Party ya kila ijumaa ya hennessy, ambayo kwa sasa yamefanyika manne, ijumaa iliyopita ilifanyika NEW AFRICA HOTEL kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa tatu usiku katika usiku mwingine wa kipekee wa Hennessy Artistry.
Hennessy imeungana na maDJ maarufu Tanzania #WEOUTCHEA ambao wanakuchanganyia mziki tofauti kusisitiza mwito wa Artistry wa The Art of Blending. Pia palikuwepo na shoo kutoka kwa mwanamuziki mwenye kipaji cha utungaji na uimbaji AViD (A Voice I Deserve) ambaye aliongeza ladha tofauti ya mziki wa taratibu aina ya soul na house.
Jioni hiyohiyo, wateja hupata nafasi kujua taarifa zote za muhimu kuhusu party nyingine za hennessy ambazo zitakuja siku za mbeleni na bidhaa zote kwa ujumla. Mkusanyiko huu utatoa nafasi wa kuchezesha bahati nasibu tarehe 14 oktoba 2014, mteja mmoja atapopata nafasi kuungana na kamati ya artistry kwenda nao nigeria huku gharama zote zikiwa zimelipwa kwa ajili ya fainali za hennessy artistry grand finale ambapo atapata nafasi ya kuwaona wasanii maarufu wizkid na 2face
*wateja watapata nafasi kushiriki droo hii pale watakapo kuwepo kwenye party peke yake (vigezo na masharti kuzingatiwa)

HENNESSY FRIDAY Wiki Hii:
Party ya wiki hii itafanyika THE BAY, Masaki, kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa tatu usiku katika usiku mwingine wa kipekee wa Hennessy Artistry. Kundi la #WEOUTCHEA wakiwa pamoja na msanii ZUNGU ambayae ni mchezaji mashuhuri wa drums akiwa pamoja na kikundi cha THT, watawatumbuiza wageni wataojiunga na kikundi cha Hennessy usiku huo.
**Wiki hii pia ni zamu ya mwisho kwa washirika ambao wangependa kusafiri nchi ya Nigeria kwa hisani ya Hennessy kuwaona wanamziki Wizkid na 2Face Idibia katika finale ya Hennessy Artistry 2014 mwisho wa November.
Mashabiki na wateja ambao wanataka kuwa sehemu ya party za kila ijumaa za hennessy wanaweza pata maelezo kuhusu kampeni pamoja na party nyingine kwa kupitia mitandao ya kijamii
Facebook: https://www.facebook.com/QwaySocial Instagram: http://instagram.com/QwaySocial
YouTube: http://youtube.com/QwayInternational-Social

Comments
Post a Comment