SHILOLE KUZINDUWA VIDEO YA 'NAMCHUKUWA, USIKU WA LEO
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Shilole atafanya uzinduzi rasmi wa video ya wimbo wa ‘Namchukua’ Ijumaa hii ya October 17. Uzinduzi huo utafanyika Coco Lounge maeneo ya Coco Beach, Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment