Wikiendi iliyopita ilishuhudia kilele cha kampeni ya Lite Up The Weekend ambayo iliyoendeshwa na bia ya Castle Lite huku ikihusisha wanywaji wa bia hiyo waliopata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali kwa kutuma namba za ndani ya kizibo. Katika siku hiyo washindi wa droo kubwa walipata nafasi ya kukutana na kujumuika katika Yacht Party iliyoanzia katika ya hoteli ya Coral Beach kabla ya kupanda Yacht iliyowapeleka katika kisiwa cha Mbudya.

Ndani ya Yacht tayari kwa kuanza kufurahia mandhari ya bahari ya Hindi
Pozi la picha ya ukumbusho katika Yacht
Hali ya hewa iliruhusu wote kufurahia uwepo wao katika tukio hili
Hakuna Party bila selfie kama wanavyoonyesha wawili hawa
Safari ikaishia katika kisiwa cha Mbudya ambako walishuka kuburudika
Mpira wa miguu ufukweni ni raha kwa kila mtu bila kujali jinsia
Castle Lite ikiendelea kuwaburudisha
Chakula cha jioni kwa wote
Comments
Post a Comment