RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 12 WA SHIRIKISHO LA TAASISI ZA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA NCHI ZA SADC.
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Meza kuu ikiungana na wajumbe kusimama kimya kwa muda wa dakika moja kumkumbuka Rais wa Zambia Marehemu Michael Satta kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Angel Magati ambayealiimba wimbo maalum wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikweteakihutubia Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambanana Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum Against Corruption)ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 KatikaHoteli ya Malaika jijini Mwanza. Sehemu ya wadau toka nchi mbalimbali barani Afrika wameshiriki Mkutanowa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchiza SADC (Southern African Forum Against Corruption) ulioanza janaukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe 07/11/2014 Katika Hoteli yaMalaika jijini Mwanza.
Kutoka kushoto ni Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, Meya wa Manispaaya Ilemela Henry Matata, Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga naMkuu wa wilaya ya Ilemela Amina Masenza wakisikiliza kwa umakiniyanayojiri ndani ya Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia naKupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern African Forum AgainstCorruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa ya tarehe07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JakayaMrisho Kikwete akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na UtawalaBora Kapt.George Mkuchika katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisiza Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi za SADC (Southern AfricanForum Against Corruption) ulioanza jana ukitarajiwa kumalizika Ijumaa yatarehe 07/11/2014 Katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza.
Comments
Post a Comment