SHOP AND BRUNCH EVENT THAI VILLAGE

Shop & Brunch Event This Saturday 29 November 2104 Thai Village, Masaki, Dar Es Salaam. Time: 10am-6pm Entrance is Free Welcome Champange on the House & Music Invite Family & Friends as you feast & shop. See U there!!! 
Karibuni mfanye shopping Thai Village Jumamosi ya tarehe  29 November 2014. Muda: Saa Nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni Kutakuwa na vitu mbali mbali kama vile nguo, viatu, vitabu nk. Pamoja na hayo kutakuwa na glass of Champange kwa kila atakae hudhuria pamoja na muziki. Karibuni muje kutupa support.

Comments