BONGO DEEJAYS AND ZURII HOUSE OF BEAUTY PRESENTS MADE IN EAST AFRICA

Yamoto Band ndio habari ta Mujini watoto wanakuja UK kwa mara ta kwanza na wameahidi kufanya maajabu hii si ya kukosa wala kuhadithiwa yaani hii kitu itakuwa EPIC 
Bila ya kukuchosha bofya play halo chini upate ujionee mwenyewe 
When we Say Live,we mean 
Liveee with Full Band &Dancers...

Comments