MMILIKI WA SHINDANO LA MISS UNIVERSE DUNIANI MR DONALD TRUMP AMFAGILIA MISS UNIVERSE TANZANIA

Mmiliki wa shindano Kubwa la urembo duniani, Mr Donald Trump ampa ufagio mrembo wa Miss Universe Tanzania, Nale Boniface. amenukuliwa akisema 
This time we have such a young and beautiful contender from Africa... Huku akitaja jina la Mtanzania NALE BONIFACE na kuomba kupiga picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Miss Universe Tanzania amefurahishwa na kauli hiyo kutoka kwa mmiliki wa shindano hilo Kubwa duniani kwa kusema amefuruhishwa na kauli hiyo. Zaidi amenukuliwa akisema >> Nimefurahishwa na kauli ya Mr Trump na Mtanzania Nale Boniface ananafasi Kubwa kuingia Top 16- Kumi na sita bora kwakuwa sasa ni mrembo pekee kutoka Africa anayekubalika na kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii.

Comments