Inasemekana watu wawili wamemfulia kesi Manny Pacquiao kwenye mji wa Nevada baada ya kutuhumiwa uongo juu ya kuumia bega kabla Pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather Las Vegas usiku wa kuamkia Jumapili 2.05.2015
Hiyo hapo chini ni Pacquiao pre-fight questionnaire ambayo inaonyesha yeye hakuwa wazi kuhusu kuumwa na bega
Comments
Post a Comment