HII NDIO LIST YA TANO BORA CCM


Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni…
Mh. Bernard Membe
Mh. John Magufuli
Mh. Asha Migiro
Mh. January Makamba
Mh. Amina Salum Ali
Chanzo: ukurasa wa Twitter wa CCM @ccm_tanzania

Comments

Post a Comment