Marais wa
Marekani na Kenya wametofautiana kwa kiasi kikubwa katika hisia zao juu ya haki za
mashoga katika mkutano na waandishi wa habari ulifanyika jana jijini Nairobi
Wakati Rais
Obama akilitilia mkazo wa nguvu suala la ubaguzi kwa jumla na madhara yake kwa
jamii,
Rais Uhuru Kenyatta
alisema Kenya bado hawapo tayari kutokana na maadili, mila na desturi zao suala la haki za mashoga halitokubalika na halina nafasi kwenye jamii yao.
Comments
Post a Comment