MERU LOGISTICS TANGAZO LA KUSAFIRISHA MIZIGO WIKI IJAYO.

Meru logistics LTD tutaondosha mizigo 📦📦 ya Next Thursday tarehe 12/11/15. Kwa wateja wetu wote wanaohitaji collection service tuwasiliane before Tuesday 10/11/15 kwenye number zetu +44 1708 554632 or 07506 762065 pia unaweza tembelea www.merulogistics.com. 
Tunatuma bidhaa zote hata Vitu vyenye nembo ya Mripuko🔥(Flammable) kwa mfano Perfumes, Body Sprays n.k. But lazima utujuulishe kuwa mzigo wako una bidhaa hizo.
PIA TUNATUMA VYOMBO VYOTE VYA ELECTRONICS KAMA 💻📱📷📹 AMBAVYO VINA BATTERY NDANI YAKE HIVYO TUNAPELEKA BALI VINA BEI TOFAUTI KIDOGO YAKULIPIA HAZARDOUS KWENYE #locallyinvestedgloballyconnected #merulogistics

Comments