UZINDUZI WA RANGI YA KUCHA YA FLAVIANA MATATA : LAVY NAIL POLISH
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
FLAVIANA MATATA AMEZINDUA BIDHAA YAKE ZA RANGI YAKE YA KUCHA, INAITWA LAVY NAIL POLISH, ILIFANYIKA PIKASSO SALON AND SPA. FLAVIANA MATATA NI MWANAMITINDO WA KITANZANIA WA KWANZA KULAUNCH RANGI YAKE YA KUCHA NCHINI. RANGI HIYO INAKUJA IN DIFFERENT VARIETIES OF COLOURS KAMA PINK, ORANGE, PURPLE, BROWN NA ZINGINE, RANGI ZIPATAZO NANE.
RANGI ZITAKUWA ZINAPATIKANA SHEAR ILLUSIONS, ZURii House of beauty, PIKASSO SALON AND SPA
KWA BEI YA SH.5000/= TU KWA REJAREJA NA KWA WALE WA JUMLA WASILIANA NA NUMBER :: 0713303686
NA WATEJA WA KANDA YA ZIWA/ LAKE ZONE CONTACT SUPPLIER NI @ADELLACISCA
Comments
Post a Comment