Mashallah mungu awakuzie mtoto wenu. jamani mmefanya la maana sana hakuna kitu kizur mlichokifanya kama kwa mtoto wenu kuwakutanisha. Muendelee hivyo hivyo kwa ajili ya kiumbe wenu msisikize maneno ya watu kiukweli mtoto anahitaji baba na mama. Hongerani sana.

ReplyDelete