MERU LOGISTICS WASAFIRISHAJI WA MIZIGO KUTOKA UK KWENDA TANZANIA KWA GHARAMA NAFUU, UHARAKA NA UHAKIKA .

Next flight kwenda DAR/ZANZIBAR itakuwa tarehe 17.06.2016 siku ya mwisho kupokea mizigo ni Alhamis Tarehe 16.06.2016

Kwa booking tupigie simu number +44 1708 554632 or +447506762065 (whatsapp) vile vile mnaweza kututumia email kwenye info@merulogistics.com.

Tunatuma bidhaa zote hata Vitu vyenye nembo ya Mripuko๐Ÿ”ฅ(Flammable) kwa mfano Perfumes, Body Sprays n.k. But lazima utujuulishe kuwa mzigo wako una bidhaa hizo.

PIA TUNATUMA VYOMBO VYOTE VYA ELECTRONICS KAMA ๐Ÿ’ป๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ท๐Ÿ“น AMBAVYO VINA BATTERY NDANI YAKE HIVYO TUNAPELEKA BALI VINA BEI TOFAUTI KIDOGO YAKULIPIA HAZARDOUS KWENYE ✈. #realpeopledorealthings #realwarehouse #realtime #HapaKaziTu #NoLongoLongo #WeLeadOthersFollow 
Follow us on instagram @merulogistics 

Comments