Pictures by Marinka Masséus aliyepiga kuidhimisha siku ya Albino duniani, hata baada ya muda bado kuna sehemu ambazo wana imani potufu na kuwakata viungo Albino. Siku hii ni ya kuwapa ujuzi watu wote watambue kuwa Albino au sio Albino wote ni wamoja.
photos by ::Marinka Masséus
Comments
Post a Comment