Chris Brown awa mmoja wa waliofanya campaign ya designer Mjerumani Philipp Plein, ambaye brand yake pia ni jina lake hilohilo. Philipp Plein ni designer wa luxury things za men, women and even kids. Amewavisha pia mastaa wengi kama vile Ciara, Chanel Iman na wengine wengi..
Hii ni campaign kutangaza his designs
some celebrities aliowavisha.
Ciara amevaa Philipp Plein crystal sneakers
Chanel Iman wearing Philipp Plein leather jacket
Philipp Plein bag and sneakers.
Comments
Post a Comment