So apparently according to men's fashion week huko majuu, men can also wear chokers and make a fashion statement out of it. Hadi sasa tumekuwa tukiona wadada tu wakizirock chokers of al kinds but now fashion gurus wameipa a go ahead kuwa wanaume pia wanawea kuzivaa and still look good, check out the pictures below utuambie kama unakubaliana nalo..
Comments
Post a Comment