Fan Bingbing ni Chinese actress, TV producer na pop singer. Wengi mtakuwa hamumfahamu lakini kwa wale wapendea series za kicking mtakuwa mnamjua.
Fan Bingbing ametajwa kwenye Top 10 ya ma-actress wanaolipwa zaidi duniani.
Na her style ikija kwa red carpet has not been dissapointing.
Love these 3 dresses she wore to the red carpet of different events. Just stunning..
Comments
Post a Comment