Hamisa Mobetto has been doing some of the hottest photoshoot sessions lately and her photographer being @Bernardatilio on Instagram.
Na kwa Amba hawajasikia Hamisa amekuwa nominated .
AMECHAGULIWA KUSHIRIKI TUZO ZA STARQT ZA NCHINI SOUTH AFRICA...VIPENGELE VIWILI
- BEST DRESSED LADY
- PEOPLE'S CHOICE AWARD
KUMPIGIA KURA NI RAHISI NENDA KWENYE
LINK HII http://starqt.com/awards/ MOJA KWA MOJA KWA NOMINEES
NENDA KWENYE KIPENGELE CHA 👉 BEST DRESSED LADY UTAONA JINA LA HAMISA MOBETO
PEMBENI YAKE KUNA KIBOX WEKA ✔
ITATOKEA ☑ KWA CHINI KUNA NENO VOTE BASI CLICK HAPO NA UNAKUA UMESHAPIGA KURA YAKO
Comments
Post a Comment